Utangulizi

Post hii imetambulishwa kama utangulizi kutokana na video  na link zilizowekwa ambazo zote zinakupa nyimbo zilizoimbwa na kwaya ya vijana KKKT kiluvya. Wengi wa vijana hao  wapo pia katika Umoja wa Vijana wa Usharika wa Kiluvya.

Post hii, itakupa fursa ya kuwafahamu kwa sura wengi wa vijana hao wanaojitoa kwa ajili ya kanisa kwenye shughuli mbalimbali hasa Uinjilisti kwa njia ya Uimbaji.

Kwaya Ya Vijana KKKT Kiluvya 
Wimbo: Mahangaiko




Bonyeza hii link kwa ajili ya kuuona wimbo wa "Tumia Vyema Uwezo wako" wa kwaya ya vijana KKKT kiluvya https://www.youtube.com/watch?v=JbsAiS2R28E


Asanteni kwa kutubariki na ujumbe wenu katika hizi nyimbo kwamba Mahangaiko yetu yesitupeleke mbali na Neema ya Mungu, na vile vile tutumie vyema uwezo (kipaji/Nafasi) wetu.

Katika kutumia vipawa walivyokirimiwa na Mungu, Umoja wa vijana KKKT-DMP Usharika wa Kiluvya umeanda   Tamasha la Mkesha wa Kuabudu na Kusifu litakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 28/04/2017 kuanzia saa tatu kamili Usiku.


4 comments:

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. This is just amazing. I hope we will all explore and discover our purposes in serving God in the Process!!! Let's make the most of it

    ReplyDelete
  3. Mtanisamehe kwa kiswahili kilichovunjika kwa sasa....and thanks

    ReplyDelete

Copyright © 2017 Umoja wa Vijana KKKT Kiluvya