Utangulizi
Post hii imetambulishwa kama utangulizi kutokana na video na link zilizowekwa ambazo zote zinakupa nyimbo zilizoimbwa na kwaya ya vijana KKKT kiluvya. Wengi wa vijana hao wapo pia katika Umoja wa Vijana wa Usharika wa Kiluvya.
Post hii, itakupa fursa ya kuwafahamu kwa sura wengi wa vijana hao wanaojitoa kwa ajili ya kanisa kwenye shughuli mbalimbali hasa Uinjilisti kwa njia ya Uimbaji.
Post hii, itakupa fursa ya kuwafahamu kwa sura wengi wa vijana hao wanaojitoa kwa ajili ya kanisa kwenye shughuli mbalimbali hasa Uinjilisti kwa njia ya Uimbaji.
Kwaya Ya Vijana KKKT Kiluvya
Wimbo: Mahangaiko
Bonyeza hii link kwa ajili ya kuuona wimbo wa "Tumia Vyema Uwezo wako" wa kwaya ya vijana KKKT kiluvya https://www.youtube.com/watch?v=JbsAiS2R28E
Asanteni kwa kutubariki na ujumbe wenu katika hizi nyimbo kwamba Mahangaiko yetu yesitupeleke mbali na Neema ya Mungu, na vile vile tutumie vyema uwezo (kipaji/Nafasi) wetu.



This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteWelldone ����
ReplyDeleteThis is just amazing. I hope we will all explore and discover our purposes in serving God in the Process!!! Let's make the most of it
ReplyDeleteMtanisamehe kwa kiswahili kilichovunjika kwa sasa....and thanks
ReplyDelete