Umoja wa vijana wa kiluvya waliandaa tamasha kubwa la mkesha wa kuabudu na kusifu lililofanyika tarehe 28/4/2017 siku ya ijumaa iliyopita ambalo lilivuta viongozi wengi, wakiwamo wachungaji, waimbaji, kwaya mbalimbali pamoja na viongozi wa umoja wa vijana ngazi ya Jimbo na dayosisi
Tamasha hili liliweza kuhudhuriwa na watu zaidi ya 900 siku hiyo
Zifuatazo ni taarifa kwa lugha ya za picha za matukio yaliyotokea siku hiyo ya tarehe 28 April 2017
 |
| Mchungaji akifanya Ufunguzi Rasmi wa Tamasha kwa kutoa Neno na Sala Usharikani |
 |
| Vijana pamoja na wageni walioshiriki katika tamasha Mkesha wa Kuabudu na Kusifu |
 |
| Wageni Mbalimbali na Vijana kwenye Tamasha la Mkesha wa Kuabudu na Kusifu katika Usharika wa Kiluvya |
 |
| Wageni Mbalimbali wakiwa Nje Kwenye Mkesha Wa Kuabudu Na Kusifu KKKT Kiluvya |
 |
| Dr Ipyana akiimba Nyimbo za Kusifu na Kuabudu..."SITAKUACHA" |
Dr Ipyana na Rafiki yake pia wakiwa stegini wakibwaga mioyo yao kwa Mungu
 |
Essence of Worship pia walikuwepo katika kuabudu na kusifu
|
R.I.O.T squad wakionyesha jinsi ya kuabudu kwa kucheza
 |
| Washarika wakiabudu na Kusifu |
 |
| Washarika na Wageni Mbalimbali wakicheza na kusherehekea Tamasha |
 |
Washarika na Wageni mbalimbali wakisherehea kwa Kuabudu na Kusifu
|
 |
| Dr Ipyana na rafiki ake |
 |
| Dr Ipyana akiimba kwa hisi |
 |
| Washarika na Wageni mbalimbali wakicheza na kuimba kwa hisia |
 |
| Add caption |
0 comments: